Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #61
nimempigia kasema ni pm wewe namba yako! nimpatie atakupigia sasa hivi yupo faragha na fastjet
juzi kuamkia jana alizidiwa kidogo, ila hajambo tena anapambana na hajakata tamaa! NI DHAMBI KUBWA KUKATA TAMAA! nampongeza kwa hilo, waliomuona wananielewa nini naongea.pole sana kwa matatizo. Mum anaendeleaje?
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.
juzi kuamkia jana alizidiwa kidogo, ila hajambo tena anapambana na hajakata tamaa! NI DHAMBI KUBWA KUKATA TAMAA! nampongeza kwa hilo, waliomuona wananielewa nini naongea.
miss you too sana!! Nipo pouwa nimepona sasa na job nimerudi.
hata kama pope kajiuzulu sio tena tukose maadili, tutakuwa hatuna tofauti na ng'ombe! mmoja niitakupa, tena sitaki mahari, nakupa bureeeeeeeee! au nikuwekee dada yao?? chagua mapema maana watu wananiPM maombi kila siku ya kuwapata twins.hehehehe jamani nawamissije pia acha tu,ikiwezekana nipe wote ili wasiwe mbali mbali
amen myb kaka!! umpendaye huko hajambo?? angalia usimsaliti kama masalia!Yesu atampa uponyaji. La muhimu ni kuendelea kumwombea. Long distance inasababisha hata nishndwe kuja kumjalia hali..
mmmhhhhh hivi yale maeneo kule bondeni nyumba za kulala wageni sh ngapi?? nataka nijue mapemaaaaaaaa sitaki kufikia kwa Yummy ananibania sana, na atafikisha habari kwa mnoko Asprin. tutaenjoyjeeeeee??Heheheee... Karibu sana kwenye ka-jiji ketu huku!!
Ila ukija huku,ujue fanta zitakuhusu tu!!
Na ole wako nije Dar uniletee Ulabu,NITAKU....
ni kweli dadangu, we ni mmoja wa wale wateule wallahi!! heri yako hata umekumbuka toba! wengina hata taarifa hawana kama leo ni ash wednesday.soon my dear, soon.....
mi miss you too
maudenda yasikutoke kwanza dear, yasubirie tufanye kwanza toba
ha haaaa, ndo maana tupo wengine hapa kazi yetu kuombea na wengineni kweli dadangu, we ni mmoja wa wale wateule wallahi!! heri yako hata umekumbuka toba! wengina hata taarifa hawana kama leo ni ash wednesday.
Umeshawah kumuuliza?
amen myb kaka!! umpendaye huko hajambo?? angalia usimsaliti kama masalia!
Hutaki unachapa yebo!
hata kama pope kajiuzulu sio tena tukose maadili, tutakuwa hatuna tofauti na ng'ombe! mmoja niitakupa, tena sitaki mahari, nakupa bureeeeeeeee! au nikuwekee dada yao?? chagua mapema maana watu wananiPM maombi kila siku ya kuwapata twins.