Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
ha ha ah ahah hivi ulielewa kila maana ya picha hapo juu?
ndugu mie nina miaka wa 29, ndugu kila kitu kinawezekana chini ya jua kwa uwezo wa Mungu.. Mie kua na Juliana Shonza sioni ugumu wowote kama Mungu amepanga iwe ivyo.
haina kweere arifu...nangalia kumbe ka juliana kana nido la kufa mtu aise.....ila anapiga mkorogo baraa......hivi huyu mheshimiwa mbowe hakula kweli?Inakuaje we Mbulula?
n how is nicas today??
haina kweere arifu...nangalia kumbe ka juliana kana nido la kufa mtu aise.....ila anapiga mkorogo baraa......hivi huyu mheshimiwa mbowe hakula kweli?
Tokea nimuone huyu dada kwa mala ya kwanza live, nafsi yangu imetokea kumkubali sana na kuhitaji awe naniliyu wangu.
Juliana Shonza popote pale ulipo nakuomba uje pande izi japo tuzungumze tu ka nafsi kangu katatulia.
samahani how old is Juliana Shonza?
uyu uyu alohama chama au mwingne?
Ndio huyo huyo alie hama chama.
sio type zangu zile...shorui mkorogo hana ladha dadadadeki..hata uke wake unakuwa kama umesinyaa kwa midawa ya viwandani.....Wewe si ndo ulikuwa bwana ake? Ina maana unaanza kumkana? Ni mara ngapi umeonekana naye pale Landmark na Lunch time? Acha umbwiga
best upo?? umemuona juliana shati halijamtosha vizuri kifuani?? akija mitaa ya soweto muazime pini, plzzzzzzzzzzz!! nimekumissije??
sio type zangu zile...shorui mkorogo hana ladha dadadadeki..hata uke wake unakuwa kama umesinyaa kwa midawa ya viwandani.....
Nipo best!!
Naona ndugu nakufa mpenzi wangu kaamua kugombea mali na mkulu,sijui atafanikiwa!!
Hahahaaa...
Miss you mingi!!
best upo?? umemuona juliana shati halijamtosha vizuri kifuani?? akija mitaa ya soweto muazime pini, plzzzzzzzzzzz!! nimekumissije??
Mwigulu njoo huku umulike mwizi.....!!!!!!!!!!
huyo anadili tu na wake za watu.