Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 245
huo ni upepo umesukuma, ni shati ambalo hajachomekea, so upepo umesukuma anaonekana kiajabu. angalia huyo mwenye miwani kulia kwa pinda shati lake lilivyo maeneo ya lisani, nae ni upepo.
Kama upepo au shati la bati.
Upepo upi wadau huuhuu wa Mungu au unaotokea tumboni?
Shosti vipi jamani mbona kimya au umekuja kivingine? Kimya kama maji ya mtungi, kunanai?Nahisi alikuwa anacheza segere lol:biggrin:
Anajamba:A S-coffee: