Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

Peter Msigwa huna hadhi ya kumuulizia,wewe endelea kula kisamvu hapo kijijini kwenu
 
Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
Huyu mbilikimo kazi aliyopewa huko CCM ilikuwa kumtukana Mbowe, baada ya Mbowe kupigwa chini na hatimaye kuunga juhudi za Samia automatically Petro Msigwa kazi ikakoma kama condom baada ya kupata bao.
 
Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
Kwa ile elimu yake ya theolojia ya kubumba hakuna mahali atawekwa. Ameshatumikq na matumizi yake yalishaisha hivyo katupwq kwenye dust bin tangu kampeni zilipoisha!
Akatafute ajira kwa ASAS.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…