Wawekee bia kwenye glasi,asubuhi watakuwa na hangover,ni kujiokotea tu.
hapo MTAFUTE.. ABUNUASI... ANADAWA MZURI YA PANYA YULE NI MTAALAM SANA
Wawekee bia kwenye glasi,asubuhi watakuwa na hangover,ni kujiokotea tu.
mkuu......una uhakika hao ni panya kweli....?........kuna panya watu siku hizi......stuka.....chukua hatua madhubuti mkuu.......
Umeniacha hoi! Au watabugi men?Mi nakushauri ufuge paka tu. Maana ukiwawekea sumu wakianza kufia chini ya makochi na makabati hiyo harufu si mchezo! Na bado ukiwaua hao waliopo kwa sumu wengine wapya watahamia so unakua hujasovu tatizo.
Tatizo paka wa siku hizi nao ukiwalea lea wanakua masharo baro.. ! "Yo! panya men.. njoo tupozi kwenye kochi men!" LoL
Dah hatari hii,andazi saba ata mtu hazimalizi sembuse panya! Kuna kitu hapa....!
jana kuandika tu hii post......namkuta panya toilet kwangu.....sitaki....sichangii tena.....
umenitisha yaani wamefka hadi kwako,au ndo maana watu wanachangia wanapotea kumbe yanawakuta haya haya! Ngoja npekue na kwangu huenda si salama....
jana kuandika tu hii post......namkuta panya toilet kwangu.....sitaki....sichangii tena.....
Kwa mwenendo huu mkuu si ajabu hao Panya huwa wanaingia wenyewe jikoni na kujipikia chakula. Kilichobaki nakushauri uhame wewe mkuu wasije kukuwekea sumu wewe,maana wamekushtukia unawawinda.Ndugu zangu,
Ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya kukabiliana na panya,wadogo kwa wakubwa.Panya ukiweka sumu chakula hawakili,ila ukiweka chakula kisicho na sumu unakuta sahani tupu.Panya hawa wanakunywa juisi iliyoachwa kwenye glass bila kuiangusha.Panya hawa maandazi saba nimeyaacha mezani asubuhi yake nimekuta sahani kavu.
Msaada wenu tafadhali!
Panya anakunywa juice?
mkuu......una uhakika hao ni panya kweli....?........kuna panya watu siku hizi......stuka.....chukua hatua madhubuti mkuu.......
khaaa! shostito hufai hata kwa kulumangia wazo gani hili?kuna mdada aliandika fb ati kuna nyau alikuwa anaingia hadi bedroom kwake. Akimfukuza hatoki. Mdada akaenda kwa mganga, akaambiwa huyo ni mke mwenzio. Akamfanyia dawa afu akamchamba ile mbaya, nyau hakurudi tena. Nilicheka sana, imani kitu kingine aisee
Panya anakunywa juice?
aisee mdau mie nilipishana na panya mkubwa tu mcity, watu walisambaratika kama hawana akili nzurisimple, chakufanya make sure chumba chako kiko safi....unasumbuka na panya coz ww nimchafu...period.
umewai kukuta panya mlimani city japo kuna mavyombo mengi?
Ndugu zangu,
Ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya kukabiliana na panya,wadogo kwa wakubwa.Panya ukiweka sumu chakula hawakili,ila ukiweka chakula kisicho na sumu unakuta sahani tupu.Panya hawa wanakunywa juisi iliyoachwa kwenye glass bila kuiangusha.Panya hawa maandazi saba nimeyaacha mezani asubuhi yake nimekuta sahani kavu.
Msaada wenu tafadhali!
haa....panya ana masikio mekundu....mdomo mwekundu....miguu myekundu....anaweza kuwa panya gani huyo......?
hapo MTAFUTE.. ABUNUASI... ANADAWA MZURI YA PANYA YULE NI MTAALAM SANA
Dah hatari hii,andazi saba ata mtu hazimalizi sembuse panya! Kuna kitu hapa....!
inabidi awategeshee konyagi waseme nayo, lok