Jamani Nyuma raha...!!!

Holy Holm achana nao mm nimekuelewa usiwawaze watu wa humu wanapenda kiki na sifa sana mtu mpaka ajionyeshe kama yeye ni mzee na ana kisukari, huu ndio muda wa ujana bana sijaona admin akisema kuwa aliyekuwa Form six hatakiwi humu tuendendelee na mengne post unachojisikia ambacho ni ruhsa humu kwasabab hakuna aliye kuekea bundle
yaan watu wenye akili fupi walivyo soma tu heading wakajua watakutana na waliyo yawaza hawajui kua hii ni chitchat
 
Asikwambie mtu NYUMA rahaaa...
Wacha nipasifie nisipo pasifia nani tena mwenye kujua utamu wa hapo NYUMA? Nyuma utamu bwana!!
Ngoja nikudokeze utamu wa nyuma najua hadi na wewe utatamani nyuma daah...
Kwanza kabisa hapo NYUMA soda ilikua sh 250, sukari robo sh 150,mafuta ya taa sh 100, pipi sh 5
daah...!!! Maisha gani yatakuja kuwa kama enzi za nyuma?
:D:D:D kama nakuona ulivyo waza mbali.


Wewe holy holm yabidi upigwe ban, yaani umenifanya niache kila kitu ili nisome raha ya nyuma ambayo ni ugonjwa wangu kumbe unazungumzia miaka ya nyuma? Kwa kweli wewe unastahili ban.
 
Back
Top Bottom