Jamani 'nyonyo'

Jamani 'nyonyo'

namuangalia tu mie huyo Mentor babe Paloma.. naona anataka kushushwa busha..

Mkuu unapajua hapa????
9k=

Uliza wataalamu wakuambie.

Cc: Paloma..thanks for yesterday night....challenge accepted!!!:-*
 
Last edited by a moderator:
imeandikwa heri matiti yasiyo nyonyesha na heri tumbo lisilozaa. jana tulikubaliana nini mm na wewe?? nitakuchapa sasa.
Basi dada naenda kuchukua fomu za u katekista parokia ya mtakatifu Yohanne mwinjili.
 
you know how much you mean to me ma lito bro!
you know maisha ya home yalivyo, sio?? sasa stop yasiyokuwa na faida kwako.

""kumbuka kanuni nlokupa ya servings""
 
Mkuu unapajua hapa????
9k=

Uliza wataalamu wakuambie.

Cc: Paloma..thanks for yesterday night....challenge accepted!!!:-*
Mentor hiyo picha siioni!!!...........afu sijui nini mbona sikumbuki yesterday night wat happened??!?!? nikumbushe basi...
 
Last edited by a moderator:
Basi dada naenda kuchukua fomu za u katekista parokia ya mtakatifu Yohanne mwinjili.

a begooooo.......
btw kumbe wewe ni mdogo wake gfsonwin mtoto wa bamdogo..........!!!!!!!!!!!!!!

so Mentor ni mdogo wangu!!! na sosoliso ni shemeji yako!!! Kuanzia sasa umpe heshima sosoliso kam ashemeji yako!
ni amri!!!fullstop!!!
na kumbuka nilikwambia leo kanisani........nayo ni amri!!!
 
ewaaaaaaaaa! mtoto wa bamkubwa mzima lkn??
nakumbuka leo ni alhamis so ibada muhimu.

btw unakumbuka tarehe 3/5??? mwambie Madame B, na Raiza nitawatafutia usafiri wa kuja manake mie nitatangulia hata IT si mtapanda?? yaani msiniangushe manake nitawaangshia msiba balaa.
 
hiyo naikumbuka sana tuuuuh.....naitafutia kasi mtoto wa baba mdogo!!
ngoja niwatafute hawa warembo niongee nao!!!
IT mmmmhhhh kuna vivuko vingapi mwaya?!?!?
 
IT haina vivuko bana unaipanda Dar, unashuka eneo la tukio mumie.
nyie ondoken dar alhamis jion msafiri usiku pori kwa pori kisha mie niwapokeeeneo la tukio usiku wa manane.
 
Mentor hiyo picha siioni!!!...........afu sijui nini mbona sikumbuki yesterday night wat happened??!?!? nikumbushe basi...

Cc: sosoliso

a begooooo.......
btw kumbe wewe ni mdogo wake gfsonwin mtoto wa bamdogo..........!!!!!!!!!!!!!!

so Mentor ni mdogo wangu!!! na sosoliso ni shemeji yako!!! Kuanzia sasa umpe heshima sosoliso kam ashemeji yako!
ni amri!!!fullstop!!!
na kumbuka nilikwambia leo kanisani........nayo ni amri!!!

Cc: gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
ooooh mmamah........mtoto anayenyonya ni mmoja tu labda wawe mapacha!!! na mtoto ananyonyeshwa kwa miaka mitano...au mpaka pale atakapoacha mwenyewe cc sosoliso
sijui vizuri maziwa yanajiakusanya sehemu gani ya mwili lakini kama ni chini ya nyonyo basi hii inamsaidia mtoto kutotumia nguvu kubwa kuyavuta bali yanataririka yenyewe, waweza kuwa ugunduzi mpya!
 
a begooooo.......
btw kumbe wewe ni mdogo wake gfsonwin mtoto wa bamdogo..........!!!!!!!!!!!!!!

so Mentor ni mdogo wangu!!! na sosoliso ni shemeji yako!!! Kuanzia sasa umpe heshima sosoliso kam ashemeji yako!
ni amri!!!fullstop!!!
na kumbuka nilikwambia leo kanisani........nayo ni amri!!!

shemeji Mentor hajambo..? ninafurahi sana kuwa na shem kama yeye babe Paloma..
 
Last edited by a moderator:
IT haina vivuko bana unaipanda Dar, unashuka eneo la tukio mumie.
nyie ondoken dar alhamis jion msafiri usiku pori kwa pori kisha mie niwapokeeeneo la tukio usiku wa manane.

Kwani mnaenda kuwanga??
 
mhhhhh usiku hapana!!! mie naweza sana kudamka hata saa kumi mradi niwahi basi la kwanza!!!
 
Kwani mnaenda kuwanga??

jamani sio kwamba tunaenda kuwanga ila tunakwenda kwenye shughuli, na shughuli yenyewe inamkesha iyo tarehe 3 so kuwapokea hawa tar3 alfajiri itawapa muda wa kunisaida kazi za akina mama kwenye hiyo shughuli.

so far mm huwa napenda sana safari za usiku yaani kusafiri usiku kwangu uwa na enjoy zaid kuliko mchana. jaribu siku mmoja uone safari za pori kwa pori zilivyotamu.
 
Back
Top Bottom