sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
alaaaaaaaa.........nimekurupuka jamani!!!!!!!!!! nikajua ni huyu mkereketwa
hahahahahhaahahaahahahahahahahhahaaaaaaaaaaaa tobaaaa naachika mie .................uuuwi ntauweka wapi uso wangu...............yalaaah kipenzi sosoliso,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,uuuuwi niwie radhi!!!!!!!!!!!
nakuja hapo regency sasa hivi hata kwa mguu siogopi mvua mie!!!! kumbe mzaa chema!!!!!!! ......oooh sob! sob!!
oh nimeshakusamehe mahabuba wangu Paloma.. najua hukumaanisha ulichokisema..
Last edited by a moderator: