Jamani 'nyonyo'

Jamani 'nyonyo'

ha ha ha omujubi..Vijana Jazz waliimba..

"siri ya ndani ni ya ndani isitoke nje isije ikawekwa peupe..
raha nikupayo hata jirani hapaswi kujua hakawii kujiua..
mahaba nikupayo hakuna mwenye nayo..
hakika wewe ni wangu hawakuwezi machangu"..

dedication kwako Paloma..


asante kipenzy!!! dah unanipa rahaaaaaaaaaaa.................
 
ana ta.ko zuri..!
Kama domo na pua lako
avatar16950_3.gif
 
Naam..ntaomba kolabo.

Cc: sosoliso

.....mhhh sosoliso mume wangu....njoo sikia huyu naye!!! eti ataka colabo....ataweza huyu hahahahahaaaa nahisi ataishia kupata points kwa ajili ya mentoring zako hukoooo kwa clients wako!!!
 
Last edited by a moderator:
.....mhhh sosoliso mume wangu....njoo sikia huyu naye!!! eti ataka colabo....ataweza huyu hahahahahaaaa nahisi ataishia kupata points kwa ajili ya mentoring zako hukoooo kwa clients wako!!!

Talking of clients makes me thirsty!

unajua ile siku yule mshkaji alinishika mkono mda mrefu kumbe alikuwa anangojea nimwambie mi ni client wa wapi...alafu na mimi nkakomaa kimya!
 
.....mhhh sosoliso mume wangu....njoo sikia huyu naye!!! eti ataka colabo....ataweza huyu hahahahahaaaa nahisi ataishia kupata points kwa ajili ya mentoring zako hukoooo kwa clients wako!!!

namuangalia tu mie huyo Mentor babe Paloma.. naona anataka kushushwa busha..
 
Last edited by a moderator:
Talking of clients makes me thirsty!

unajua ile siku yule mshkaji alinishika mkono mda mrefu kumbe alikuwa anangojea nimwambie mi ni client wa wapi...alafu na mimi nkakomaa kimya!

....obey your thirsty mkuu!!!
nyie.............mna yenu!!! hamumpati mtu!!!! utaona!!!
 
namuangalia tu mie huyo Mentor babe Paloma.. naona anataka kushushwa busha..


bebi punguza mkwara................au wataka namie nikuvurumushie kombora la Nivea............ntamshusha nyonyo zileeee zining"inie mpaka nyongani,,,sijui atavaa sidiria gani..............hahahahahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
DAh anaoneka na hips za kufa mtu khaaa hebu mdondosheni basi asimame tuone curves hizoooooooo
 
Nani kama mama! Afu utashangaa mtoto atakuwa jitu... eti anamtuhumu mamake mchawi... kwetu shy mpo????
 
Mbona huu uzi ulivyoanza naunavyoishia nivitu viwili tofauti??watu bwana....kuanzia comment ya ishirini tuhamishie CC,AU MMU,au kabisa Jukwaa la wakubwa!
 
Back
Top Bottom