Jamani 'nyonyo'

Jamani 'nyonyo'

mhhhhh usiku hapana!!! mie naweza sana kudamka hata saa kumi mradi niwahi basi la kwanza!!!

mwali sasa mbona sitawafaidi?? lol! yaani simtafika mchana?? jamani nani atanisaidia kazi???

lakini kweli kama wewe sio found of safari a usiku siwez kukuambia usafiri as utaboreka tu ila kwa tuliozoea hizi ndizo safari tunazo enjoy kuliko zote hahahahahhha!

cc snowhite, cacico, Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:

Kama hawajawah kusafiri ucku basi hawajui raha zake.
 
Last edited by a moderator:
oh babe Paloma i mic u too my earth angel..! jitayarishe tukapate lunch leo.. cijui wataka kula nini leo mahabuba wangu..?

..............cc nivea!

mpenzi bado nimeshiba chai ile...kwa hiyo hata sijajua nna hamu ya nini! ngoja nusu saa ipite ntajua tu! ntakupiiemu! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
mwali sasa mbona sitawafaidi?? lol! yaani simtafika mchana?? jamani nani atanisaidia kazi???

lakini kweli kama wewe sio found of safari a usiku siwez kukuambia usafiri as utaboreka tu ila kwa tuliozoea hizi ndizo safari tunazo enjoy kuliko zote hahahahahhha!

cc snowhite, cacico, Nicas Mtei

Kama hawajawah kusafiri ucku basi hawajui raha zake.

khaaa wee mamito.......
mwenzenu nikisafiri usiku silalagi mpaka nifike.....sasa kazi zitafanyika hapo?!?!?!

anyway ntaongea na dadako ili tuone vile itakuwa!!!
 
..............cc nivea!

mpenzi bado nimeshiba chai ile...kwa hiyo hata sijajua nna hamu ya nini! ngoja nusu saa ipite ntajua tu! ntakupiiemu! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Cc: MIMI na sosoliso...lol!!!

...you are welcome!
 
Last edited by a moderator:
jamani sio kwamba tunaenda kuwanga ila tunakwenda kwenye shughuli, na shughuli yenyewe inamkesha iyo tarehe 3 so kuwapokea hawa tar3 alfajiri itawapa muda wa kunisaida kazi za akina mama kwenye hiyo shughuli.

so far mm huwa napenda sana safari za usiku yaani kusafiri usiku kwangu uwa na enjoy zaid kuliko mchana. jaribu siku mmoja uone safari za pori kwa pori zilivyotamu.

Duh nilistuka huwa nikisia saa nane na saa tisa za usiku nikiwa mdogo mama yangu alikuwa akiniambia ni saa na mashetani na wanga .

sasa siku hizi tena na haya makanisa yetu ya kirohoo watu wanatafuta kufanya vibweka ili wapate waumini nikajua mama mchungaji na wewe umeanza.

pia siku hizi watu wengi waojifanya kujishika na makanisa na kukata neno kwa kwenda mbele usiku huwa wanakua mbu.

hata hivyo Asante kwa ufafanunuzi nakuaminia mama mchungaji

Nilikuwa nikipenda sana safari za usiku tena mara nyingine nikiwa mwenyewe kwenye gari mwenyewe,
tatizo siku hizi binadamu wamekuwa wanyama sana na barabara zetu huwa zinakuwa na mashimo ya ghafla na sehemu nyingine unaweza kukuta kun a ujenzi unaendelea mahali na hawajaweka kiashiria chochote.

Kibaya zaidi kuna kama mara tatu nimeshapigwa mawe kwenye kioo cha gari kwa lengo la kusababisha ajali ili wahuni waweze kujiporea vitu nimekoma pamoja na kwamba nikisafiri huwa siaachi silaha kwa lengo la kujilinda lakini kuna hatari zake mama mchungaji ni bora mchelewe shughuli yenyewe kuliko kuhatarisha maisha na mali. mfano mzuri wa ajali hizo ni maeneo ya kuanzia mwanga kupita same hadi hedaru wahsanzi pale wanayapopoa magari na majabali ni hatari, kwa barabara ya Dar Ar.
Maeneo mengine ni Arusha sehemu za makuyuni kuelekea manyara na manyara karatu hadi ngorongoro washenzi pale kuanzia saa mbili za usiku wanasababisha ajali kweli maana kama uko kwenye mwendo hata kama ni 80km/h mara kioo kinapigwa ghafla kinachanika chanika kwanza kwa mstuko tu na na ikizingatiwa kioo cha mbele kitakuwa kimechanikachanika hivyo hutakuwa na uwezo wa kuona mbele na jinsi barabara zilivyo nyembamba ni utakimbilia breki huku ukiyumba tayani unalo .

hatri nyingine ni kwa[MENTION] Paloma[/MENTION] akiwa na sosoliso mara mkono kwenye gia mara kwenye uskani mara unaitwa bebi mara hanii mara switi hii inaongeza sana ajali barabarani haswa kama huna uzoefu wa kuendesha usiku bora hata shemegi yao Mentorawasaidie kuendesha huku akipiga chabo kwenye kale ka kioo cha kati watafika tu
 
Last edited by a moderator:
mtoto akaanguka na miti ikapukutika majani yote
 
ooooh mmamah........mtoto anayenyonya ni mmoja tu labda wawe mapacha!!! na mtoto ananyonyeshwa kwa miaka mitano...au mpaka pale atakapoacha mwenyewe cc sosoliso

Ni kweli lakini wakati mwingine ni maamuzi tu ya mwanamke/mama na ndiyo maana nimekuomba unifanye niwe baby wako wa kishikaji, tafadhali usimtumie copy sosoliso maana sina uhakika naye, asije kunipiku.:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli lakini wakati mwingine ni maamuzi tu ya mwanamke/mama na ndiyo maana nimekuomba unifanye niwe baby wako wa kishikaji, tafadhali usimtumie copy sosoliso maana sina uhakika naye, asije kunipiku.:A S 39:

heheheeeeeeee................mume wangu sosoliso, eti tumzae huyu naye anyonye?!?!?! khaaaaaaaa
 
yaani nikupiku kwa mke wangu Paloma..? wewe Mkereketwa_Huyu unahitaji maombi.. pliers za kung'olea kucha zimeniishia ujue.. ntakung'oa kwa jembe kucha hizo.. wewe shauri zako..

heheheeeeeeee................mume wangu sosoliso, eti tumzae huyu naye anyonye?!?!?! khaaaaaaaa

babe Paloma huyu ametumwa.. sio bure.. achana nao hao.. nampeleka mkweo Regency pale hospital.. baadae umpitie kumrudisha hom basi..
 
Last edited by a moderator:
yaani nikupiku kwa mke wangu Paloma..? wewe Mkereketwa_Huyu unahitaji maombi.. pliers za kung'olea kucha zimeniishia ujue.. ntakung'oa kwa jembe kucha hizo.. wewe shauri zako..

babe Paloma huyu ametumwa.. sio bure.. achana nao hao.. nampeleka mkweo Regency pale hospital.. baadae umpitie kumrudisha hom basi..

.............aaaah sitaki kubeba wagonjwa mie sina ambyulensi!!!!!!!
 
jamani mkweo ndo unasema hayo maneno Paloma..? Madame B umeona majibu ya ndugu yako..?

alaaaaaaaa.........nimekurupuka jamani!!!!!!!!!! nikajua ni huyu mkereketwa
hahahahahhaahahaahahahahahahahhahaaaaaaaaaaaa tobaaaa naachika mie .................uuuwi ntauweka wapi uso wangu...............yalaaah kipenzi sosoliso,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,uuuuwi niwie radhi!!!!!!!!!!!

nakuja hapo regency sasa hivi hata kwa mguu siogopi mvua mie!!!! kumbe mzaa chema!!!!!!! ......oooh sob! sob!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom