UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,315
kwa comment hii maskini naona kama bado umri wako mdogo! unatia huruma! pole sana! usife moyo, yataisha!Asante Toria kwa ushauri wako mzuri.Naimani utanisaidia kwani umuhimu wa mtu utaujua pale atakapo kuacha au kukaa na wewe mbali.
.......mie ni msicha ambaye nimeshika sana dini na nimetulia sana.
Kwa maana hiyo basi, heading ya thread ingekuwa "Jamani sisi wanawake".
hapana ingefaa isomeke hivi "jamani mimi.........." LOL
Hivi unatuomba ushauri au unatusimulia kisa chako? Hapa kuna ushauri gani zaidi ya kuwa huyo jamaa hatakuja kukuoa, ukiamua kukaa kaa au kama unataka maisha ya heshima na ndoa uondoke haraka?
Unachoshindwa kuelewa hapo ni nini, wakati umepewa blaki endi waiti...??? Shukuru Mungu huyo kawa muwazi mapema, la sivyo angekugegeda hadi unafika 33 ndo angekuacha..Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi mkoa mwingine na baaadae akanitafutia kazi huko aliko na kuanza kuishi nae(kwa kweli sikuwa napenda kuishi nae bila ndoa).Miaka mitatu sasa imepita,ila jamaa sijawahi kumsikia hata siku moja kudokezea jambo la kwenda kujitambulisha kwetu.Chakushangaza sasa nikimwambia kuhusu swala la kwenda kwetu daaaah!anachonijibu sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.
nashindwa kuendele jamani,
Du hapo ataumbuka, bora amtafute Mwanamume mwingine hata rafiki wa huyo BF wake na kuanza ukurasa upyaJitahidi uzae nae mtoto.
hapana ingefaa isomeke hivi "jamani mimi.........." LOL
Una bahati kwamba hajakuzalisha... ungekuwa na mtoto, maamuzi yangekuwa magumu sana kwa upande wako. Kwa sasa, regardless of anything, wewe wahi kuondoka.yer inauma sana yani leo sijaenda popote nipo tu chumbani nalia sana.siamini kama mambo ambayo nayaona na kuyasikia leo yananitokea kwangu.siamini