KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wana wa jf habari za kazi natumai hamjambo.Tafadhalini naombeni msaada wenu modem yangu ya voda inagoma kuwa installed kila ninapojaribu kuinstall ujumbe huu unatokea INSTALLSHIELD Kisha inaniambia erro installing Microsoft(R) NET Framework.