Jamani nisaidieni mwenzenu wana jf

Dah! UH + ++ inakupa mtihani mgumu sana...pole sana...ongea na mume wako labda anaweza kutafuta namna ya kukusaidia. Kila la heri.
 
Achana na mawazo ya ngono, mazungumzo machafu, fanya ibada, acha kuangalia filamu za papenzi, usipende kukaa pekee yako, tune your brain kwenye mabo muhimu, kataa hayo mawayo mabaya, ongea na mtu wa karibu juu ya hilo tatizo na utapona.
 
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF
hata mimi nina matatizo kama wewe,ni pm basi
 
Back
Top Bottom