Jamani nisaidieni mwenzenu wana jf

nadhani mdada unatakiwa uwe na muda wa kukaa na kumkumbuka mmeo au mambo mazuri mliyokuwa mnayafanya na mmeo hii inasaidia sana kuepukana na msongo wa mawazo lakini bahati nzuri mna mtoto tayari tumia muda mwingi sana kukaa na mtoto na hii inasaidia sana ..
epukana na marafiki wanafiki au kuwa unawatembelea sana marafiki au kukaa nao bar au kupiga story zisizo na kicwa wala miguu
epukana kusoma vijarida vya ngono au kuangalia picha au sinema za ngono
 
Video skype na mumeo mridhishane; nge zote zitaisha au la muombe akutumie vibrator........ Lol
 
nakushauri ukizidiwa uwe unapiga punye. pia ondoa mawazo ya tendo la kikubwa. mwisho kabisa sex phone ihusu hapo.

Well said Hussy; wanaweza hata tumia skype (video calling) works very well.
 
Vumilia bi dada,
mpe mmeo heshima yake kwann umuibie.......
unajua ukishazoea wizi hata akirudi utatamani kuiba.
PLZ USIFANYE HIVO.
 
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF

Hofu yangu kubwa huna ndoa, kama unayo basi hukujiandaa wakati mumeo anaondoka. Hiyo tamaa inaanzia kwenye ubongo kama kweli una mume ina maana huwezi kusaliti kwa sababu mtu wako hayupo.

Nenda benki kakope umfuate akutibie deni utalipa ukirudi. Wanawake wengine vimeo!
 
Mi mwenyewe nimeipenda thread naomba ani pm japo namba ili tuweze kusaidiana kiundani zaidi maana tatizo hapa ni mazoea na sio kummis mtu
 
Back
Top Bottom