Jamani nisaidieni hili swali Mwalim wangu kaniuliza nashindwa kumjibu haya nakuacheni munijibu

Thanks mkuu.

Nami nauliza swali.

Kuna mtiririko wa ajabu, uanzia kwa nambari nne, kisha mbili na kuishia nambari tatu, nini jibu lake?

Mtoto hutambaa (miguu miwili na mikono miwili) mtu mzima hutembea kwa miguu miwili na mzee hutembea na kifimbo (miguu miwili na fimbo jumla 3)

Kama sijapata nakutoa u-mod leo hii........Revolution
 
Jawabu zinaweza kuwa nyingi tu, yaani vitu vyote na kinyume chake. Mifano michache:
Mwanamume/Mwanamke
Mchana/Usiku
Mapenzi/Chuki
Shibe/Njaa
Uzima/Maradhi
.....................
 
Mtoto hutambaa (miguu miwili na mikono miwili) mtu mzima hutembea kwa miguu miwili na mzee hutembea na kifimbo (miguu miwili na fimbo jumla 3)

Kama sijapata nakutoa u-mod leo hii........Revolution
Swadakta mkuu NewDawnTz, ilo ndio jibu lake.

Nakutunukia kijizawadi kidogo.

attachment.php
JFgmAni003.gif
 
Nina saa ambayo haijawahi kusimama tangu kutiwa ufunguo.

Na fumbo lingine:

Mzazi ana miguu lakini aliyezaliwa hana miguu.
 
Huyu anatuletea tena mambo ya tayariiiii badoooo, jamani. Lile swali la JINA LAKO,bado hajaleta jibu, amekuja na swali jingine ambalo jibu analo yeye. Hiki sasa ni KIPIMA BARIDI, wakati kwetu huu ni msimu wa joto
 
Nina saa ambayo haijawahi kusimama tangu kutiwa ufunguo.

Jibu Lake: Moyo (Heart)

Na fumbo lingine:

Mzazi ana miguu lakini aliyezaliwa hana miguu.

Jibu lake: Ndege (i.e Kuku, Bata).
 
Hongera Umepata Jibu langu Hoyeeeeeeeeeee Wewe ndie Mshindi Mkuu X-PASTER Bravoooo :poa

amepata wapi wewe,,umesema ni <nani> kumaanisha kwamba ni binadamu sasa usiku na mchana ni binadamu??????? bora hata ungetumia ni vipi vipo viwili na havina wa tatu wao...............kwaheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom