Jamani nisaidieni hili swali Mwalim wangu kaniuliza nashindwa kumjibu haya nakuacheni munijibu

Swali lenyewe ni hili hapa ( Je Ni nani ambao ni wawili hawana watatu wao?) Nitashukuru mukinijibu hili Swali langu kwa ufasaha wa maneno najuwa humu ndani ya Jamii forums kuna Ma Great Thinker wazuri kabisa asanteni
Na wawili ambao hawana watatu wake ni usiku na mchana.
 
Hongera Umepata Jibu langu Hoyeeeeeeeeeee Wewe ndie Mshindi Mkuu X-PASTER Bravoooo :poa JFgmAni002.gif
Thanks mkuu.

Nami nauliza swali.

Kuna mtiririko wa ajabu, uanzia kwa nambari nne, kisha mbili na kuishia nambari tatu, nini jibu lake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom