Jamani niruke nae au nighairi?

Jamani niruke nae au nighairi?

Kwahyo unafikiri ukiruka nae utakua unakula bule,au unafikiri yakwake ina keki ndani tofauti Naya mkeo?nenda kamshape mkeo awe msafi kama huyo unaemkuta hapo kwenye dirisha la malipo na pia ichape mara 3 mfululizo Wala hutolitamani Tena Hilo danga coz linajisogeza kwakua limenusa harufu ya Ankara.
Hilo nalo neno mkuu, ila wanaume tunapitia shida na vishawishi kwa kweli
 
Tamaa za mwili kamwe haziwezi kukwambia madhara ya kutapanya 'nguvu za kiume" hovyo ni mpaka utakapokutana nayo uso kwa uso!
Kama yapi mkuu, maana wanasema pia usipofanya tendo kwa muda mrefu tezi dume inakuhusu
 
Zinaa;
1. Hukausha Nishati ya kufanya maendeleo
2. Huleta aibu(fedheha) isiyofutika.
3. Kifo(Kuua/Kuuwawa) kutokana na wivu/uchungu/hasira/kisasi n.k
4. Huondoa ufahamu(kufikiri kwa makini)

Mfano,Jiulize huyo mshangazi unajua ameletwa kwako kwa lengo lipi?. Yaani amekuja ili akuachaje?.

Naamini wewe ni kijana mwenye Ndoto fulani za maisha. Pengine umewekwa duniani uwe mlango wa mafanikio ya kimaisha kwa wengine wengi wakiwemo ndugu zako wa damu. Kitendo cha kukosa udhibiti wa tamaa zako za mwili,nachelea kusema upo kwenye hatari kubwa!

Amini nakwambia zinaa imekatisha Ndoto za vijana wengi sana.

Fikiria hili je, huyo mshangazi vipi kama ni mke/mchepuko wa 'someone powerful' ambaye ana wivu nae sana then akaja kubaini kwamba unamlala?(Umelifikiria hili?)
 
Zinaa;
1. Hukausha Nishati ya kufanya maendeleo
2. Huleta aibu(fedheha) isiyofutika.
3. Kifo(Kuua/Kuuwawa) kutokana na wivu/uchungu/hasira/kisasi n.k
4. Huondoa ufahamu(kufikiri kwa makini)

Mfano,Jiulize huyo mshangazi unajua ameletwa kwao kwa lengo lipi?. Yaani amekuja ili akuachaje?.

Naamini wewe ni kijana mwenye Ndoto fulani za maisha. Pengine umewekwa duniani uwe mlango wa mafanikio ya kimaisha kwa wengine wengi wakiwemo ndugu zako wa damu. Kitendo cha kukosa udhibiti wa tamaa zako za mwili,nachelea kusema upo kwenye hatari kubwa!

Amini nakwambia zinaa imekatisha Ndoto za vijana wengi sana.

Fikiria hili je, huyo mshangazi vipi kama ni mke/mchepuko wa 'someone powerful' ambaye ana wivu nae sana then akaja kubaini kwamba unamlala?(Umelifikiria hili?)
Unanifanya nitafakari sana mkuu... Kuna vingi nyuma ya pazia. Ila Sidhani kama kufanya mapenzi hasa kwa afya ni dhambi kiasi hicho...
Wacha tuzoeane nizidi kumwona ni mtu wa namna gani nitafanyia kazi mawazo yako
 
Wakati unadeal na huyo, jiandae kuletewa wengine!
 
Back
Top Bottom