Jamani niruke nae au nighairi?

Jamani niruke nae au nighairi?

Ooh, ok mkuu, ni kama mama ntilie flani hivi basi Kuna mawili:

Either utembee naye upunguze kula hapo au utembee nae uwe mwekezaji hapo.
Yaani ndo risk nilikuwa naona inaenda kutokea ila akiendekeza michezo yake walah namla mimi
 
Kuna mgahawa classic huwa naenda kupata msosi. Mimi ni mtu low key sana, napenda hata nikifika sehemu attention isiwe kwangu. Huwa nafika pale wadada wasaidizi wananihudumia vizuri tu, na huduma zao ziko safi sana.

Nimejikuta napapenda pale kwasababu ni wasafi, japo chakula ndo gharama ila nitafanyaje sasa kuuguwa uguwa sipendi.

Kuna mrembo huwa anakuwa pale kumpokea cash na inavyoonekana yeye ndo boss wao. Huwa anapokea cash ila mimi huwa nalipa kwa njia ya kuscan maana kutembea na cash nilisha acha zamani.

So baada ya kufanya muamala huwa naenda pale kwake na mwonesha muamala then naondoka zangu.

Ila sasa amenizoea sana kwakweli, mara aniambie nisilipe tu kuna siku akaniambia anataka tushee plate, Mara aniite boss, na kuna siku akaja kukaa napokula then akaanza kunywa juice huku anarembua flani hivi, akaanza kugusisha upaja wake kwenye goti langu.

Nilivyo mkazia macho akaacha ila mimi naye stori kama sijamzoea mtu hazipandi, so namwacha tu anabonga wee, mimi labda nitaitikia au kuongea maneno Machache. Ila ndo ivyo yaani kaniganda na hataki kabisa nichomoe.

Sasa najiuliza ni ichape ama maana wadada wa namna hii japo ni watamu ila Kuna madhara baadae. Ukizingatia Sehem hii nayo kula ndo karibu na job, kingine ni mwanamke mshangazi si ndo hawa huwa mpaka wanawaroga hawa?

Ni pisi haswa ila naona hapa soo. Na sijawahi kudate na watu wa migahawa. Nipeni experience wataalamu.
Nguvu za kiume hazipaswi kutapanywa hovyo,zitunze kwa gharama yoyote. Kuna siku utanishukuru!
 
Nguvu za kiume hazipaswi kutapanywa hovyo,zitunze kwa gharama yoyote. Kuna siku utanishukuru!
Mmm kupingana na vishawishi nayo ni kazi nyingine ngumu sana hasa kwa sisi wanaume. Imagine demu anakuja kupapasa upaja wake huku anarembua Jogoo ataacha kuwika kweli ndugu? Na bado kila siku anatafuta namna
 
Hahaha umesoma uzi kiongozi?
Nimeusoma wote, kwa wanaofanya kazi kwenye migahawa mara nyingi huwa na vitendo kama hivyo na si kuwa unapendwa.

Halafu aliyekuambia mtu akinawiri hawezi kuwa na ngoma? Au wewe bado ni mtoto?
 
Back
Top Bottom