masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,664
- 14,677
View attachment 103078
Barabara ya heshima kabisa ya Ali Hassan Mwinyi, utaona tangazo ukutani katika jengo hilo(opposite na Geothe Institute-Upanga),
Nashangaa tangazo hilo sijui aliyekusudiwa ni nani? pengine MziziMkavu na akina Bujibuji ambao wamesafiri sana kwenda huko uchina na japani, mie nimetoka kapa!!!!!