Mi nilifikiri mmepata ajali bwana!!
Hayo matatizo ni ya kawaida nchini petu.
Marry mimi sijazoea. si unajua kama unapita angani hvi vitu haviko! leo nimeona nipite chini ili niione nchi yetu vizuri, ndo haya tena., Vipi lini nikutoe, ahadi yangu bado naikumbuka
Hivi fast jet hawakuwa na nafasi?
na yenyewe labda ilipata pancha hahah...
ndio tatizo la kusafiri kimya kimya.......nimepita hapo muda si mrefu naelekea Dar na nipo na private car....only 2 people in the car......