jamani nipeni link wakuu

jamani nipeni link wakuu

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,720
Jf okoeni mwenzenu nahitaji link ambayo naweza pata assessment of procurement methods in Tanzania. nime googlize lkn naona ripoti nyingi hazina nyanga za kutosha nitupie basi hata kama ni ya ofsin kwenu ninashida sana, Nyanga zimegoma hizi
 
ina maana humu jf wote mko bize sana au manake hapa naona hata wa kunitia moyo simpati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom