missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
No exception? In that case siji tena PM.
Aah..njoo bana,na mimi nijaribu kurubuni. Teh teh
No exception? In that case siji tena PM.
Mke mwema anatoka kwa BWANA sio JF. Piga goti sanaa
Basi njoo upumzike kwangu nikufute machozi usilie tena, ila kajuhudi kawepo kakutafuta pochi
mkuu huyo mtumishi Bado yupo na mimi napitia scenario hiyo hiyoBaada ya kujitambua funga na kusali, tafuta watumishi wa mungu hiyo spirit itoke. Ninaushuhuda mwingi wa namna hyo unakuta kuna roho inakuafuatilia ya mababu zako au maneno ya watu tu so mungu ndo habari ya mjini.kama ni mkristo ni pm nikupe no ya mtumish anasemina dar anafungua watu kama weww na wanafurahia mahusiano