ndalikane bigambo
Member
- Jul 11, 2015
- 94
- 21
Wako bado hajaja wala uckate tamaa ipo cku utapata mwamke na atakutongoza mwenyewe tulia ndani ya mwezi wa 11 lazima mungu atakuletea mke mwema
Hata sijui unaogopa nini.
What's the worst that can happen?
We sema yako msikilize yake akizingua unamkaushia, akielekea nawe unaelekea hakuna kupoteza time.
Kwanza pole, pili zidisha kumuomba mungu......katika suala hili. Tatu labda hilo jina lako ndo ulivyo...sikwambii uwe chiriku but mwanaume mkimya anaboa, kidogo jichangamshe. Nnee, inakuja kwenye mambo ya personality yako kuanzia mavazi, sio unavyaa kama mtu wa kwaya na pia mpaka unavyojiweka mbele ya watu....hiii ni muhimu sana.
Umesema pesa si issue, ongeza kuhonga kidogo sio vocha tu, make sure unakubaliana na binti sio babake. Mwanamke akikubabali hata wazee wakatae atatafuta mbinu za kuwabadilisha msimamo wao.
cc: kijana mkimya
labda una ingia katika mahusiano na vibinti vya chuo visivyoishi katika uhalisia,visivyo na maamuz binafsi .
Yani hata humu jf ukitongozwa unakataliwa mkuu?
Mpaka maombi yamegoma? Anyway, fanya hivi. Anza ku-like random posts za wanadada tu humu na kuwapa rep-points. Haijalishi wanaongea nini. Baada ya muda, wafuate PM mmoja mmoja. Hii mbinu nimekupa wewe tu. Kila la kheri.
Yani hata humu jf ukitongozwa unakataliwa mkuu?
Aisee lakini haiwezekani bwana wakatae wote ? Wengi ivi ?
USHAURI WA OVYOO,
Waweza kupendwa hata kabla hujasema chochote so kupangiliaaneno sio hoja ya msingi, unaweza kupendwa ilhali umevaa nguo za kazi so utanashati sio kigezo, hapa anatafuta mke na sio changudoa atatongozaje kila dem! Anatafta mke, unataka amwage pesa!!!!
Idiot.
usikate tamaa endelea kumwamini na kumshukuru Mungu atakupa mke mwema.maombi nafanya sana mpaka nimekata tamaa.
Mnataka mwenzenu arubuniwe?? Hahaa..
Yuko hapa tumsaidie kurubuniwa. We hurubuni?
Sirubuni Paulo,mimi ni binti mkimya.