Jamani nimezaliwa leo

Jamani nimezaliwa leo

Wakati unasheherekea siku yako ya kuzaliwa, ukumbuke na waliokufa siku unayozaliwa akiwemo JK Nyerere.

Happy Birthday kiongozi.
 
Asee...kwa hiyo bado upo maternity word au ushatoka mkuu....hongera kwa kuzeeka mkuu!
 
Kwa hiyo asherehekee na kuhuzunika kwa pamoja??
Kwa hiyo unaweka biya halafu unaweka machozi!!
Wakati unasheherekea siku yako ya kuzaliwa, ukumbuke na waliokufa siku unayozaliwa akiwemo JK Nyerere.

Happy Birthday kiongozi.
 
Kwa hiyo asherehekee na kuhuzunika kwa pamoja??
Kwa hiyo unaweka biya halafu unaweka machozi!!
Ewaaaaaa!

Huku anamimina biya, huku anamwaga chozi
Huku anatafuna mbuzi, huku anafuta chozi

Tutafanyaje sasa na hali ndo ishakuwa hivyo?
 
Long live mkuu.... Wengine tupo Butiama tunaomboleza. Sherehekea siku yako mkuu... Miaka 100 mingine inakuja
 
Hello wanaJF ninayofuraha kuwaalika katika birthday party yangu hapa nyumbani i wish niwe nanyi wadau kwani MMU makes my life very comfortable ila mazingira hayaruhusu. LOVE U ALL

umezaliwa siku moja na mdogo wangu, happy birth day
 
Long live mkuu.... Wengine tupo Butiama tunaomboleza. Sherehekea siku yako mkuu... Miaka 100 mingine inakuja

nashukuru kaka mia inanitosha kabisa leo nazimi mishumaa ya robo ya mia
 
Back
Top Bottom