Maisha yana mambo mengi sana.
Unaweza achana na mtu anakwambia usiku mwema na kesho
bahati mbaya sio kawaida kuwasiliana mara kwa mara
unakuja ambiwa hayupo tena duniani.
Namaanisha,kukaa kwake kimya haimaanishi kakuacha.
Yawezekana katika kutafuta maisha yupo vibaya kifedha.
Yawezekana ni mgonjwa na amelazwa.
Yawezekana,yawezekana,.....mengine hayasemeki ila kuna sababu nyingi sana.
Usiwe mvivu kutafuta kujua hali ya mwenzako,na usiwe mwepesi kulalamika.
Yes,inauma kuwapo ukimya kati yenu lakini do something.
Naamini ana marafiki na unawafahamu,ongea nao.
kama ni mzima kabisa na hana tatizo usilazimishe kuongea naye
na usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya.
Sometimes unahitaji distance na ukimya ili ummiss mtu ndipo utajua kama unampenda
au la.
Labda ulimboa sana,na labda yeye sio mtu wa kusahau maudhi haraka na imebidi
a-act kukuchunia kwa mda.
Give it time,na muombee huko aliko.
You never know,labda ukimya wake ni kwa best interest yako.