Umeibiwa kweli...shati la 97000 linakuvaa lenyewe au??!
Au muuzaji alimvuraga!Piga vizuri mahesabu utakuwa umejichanganya sehem
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.
Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
Hilo ni shati la Tanzanite na vifungo vya green tomaren!
Shemeji nawe siku hizi hutembei sana madukani , utavijuaje!
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji sh. 3,000.
Nikamlipa baba sh. 1,000 na mama sh. 1,000 na mimi nikabakiza sh. 1,000 ili ninunue vocha.
Kwa hiyo baba ananidai sh. 49,000 na mama 49,000 jumla sh. 98,000. Nikijumlisha na 1,000 niliyobakiza jumla inakuwa sh. 99,000. Sh. 1,000 imekwenda wapi??
Swali la kitoto kama hilo hauwezi kutuuliza sisi magwiji wa Hesabu...