Jamani nielewesheni maana sielewi#

Jamani nielewesheni maana sielewi#

Dactar wizzy

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
33
Reaction score
5
Naomba mnisaidie jinsi yakuludisha account yangu ya facebook (dactar wizzy) ambayo inashea email moja na namba yasiri moja No. yasimu moja .Hivyo yani ama nini
 
Nakushauri huu uzi peleka jukwaa la teknolojia,hapa utachorwa tu,sana sana ungeuliza wapi gest nzuri tabata Erickb52 angekuelekeza.
Cc aione Chocs
 
Last edited by a moderator:
Wameshateka uzi... mleta thread atajuuta kuijua chit chat..
 
Wameshateka uzi... mleta thread atajuuta kuijua chit chat....
 
Back
Top Bottom