Jamani ndoto yangu ni Husninyo!

Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?

heheheee! Nipe 5!
 
MAKUBWA!!! Mie kama mlezi mbona sina taarifa??
 
Ila kiroho kinanidunda hapa! Naomba muhusika ujitokeze hadharani na umtaje unaempenda hadharani! Wengine wa vichochoroni utawaspare na ku deal nao kwa mda wako!
 
tena MMHHH kubwa BAK. Lol.

Hahahahahah lol! umeambiwa majibu yako mafupi hahahahah lol! Hebu refusha basi japo kidogo tu πŸ™‚πŸ™‚ Huyu jamaa hata miezi miwili hajamaliza hapa jamvini lakini kishakusoma kiasi cha kukuanzishia uzi!!! πŸ™‚πŸ™‚ labda alikuwa anafuatilia jumbe zako siku nyingi lol! Mie nakuona uko poa kabisa umetulia kama maji ya mtungini πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ usibadilishe hiyo style yako ya uandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…