jamani nawatafuta hawa popote walipo.

jamani nawatafuta hawa popote walipo.

Matokeo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
231
Reaction score
42
ALEX KAYOMBO, LUSAJO MWANGASA, hawa nlisoma nao Kibo Secondary pale Moshi 1997 Enzi hizo shule ikiwa pale katikati ya mjini wa Moshi kama wakiona uzi huu tafathali waniPM Alex kipindi hicho alikua anakaa TPC Moshi nawasilisha.
 
Wewe Jamaa ni Mngese sana na Mbinafsi Mkubwa k.m..mae! kwa nini unaandika majina ya Watu wengine hapa wakati wewe la kwako unalificha?
 
unafikiri .ni sahihi kumtukana huyu mleta uzi ...? Ndio amekosea lakini hukupaswa kumtusi...!
 
Wewe Jamaa ni Mngese sana na Mbinafsi Mkubwa k.m..mae! kwa nini unaandika majina ya Watu wengine hapa wakati wewe la kwako unalificha?

ww umeona ulichokiandika hapo ndio busara uliyofundishwa na wazaz wako?? Ng'ombe ya mseven ww........... Unafikir atawapataje bila kuwataja majina
 
Sifikiri kama umefanya vyema kumshukia kwa mitusi yote hiyo.

Hajui user names zao kama wapo jf lakini pia wanaweza kuwa sio wahudhuliaji wa jf ila wanaweza kujulishwa na wanaowafaham na ameeleza vizuri kama wapo wa mPM huko ndio wangejianika kwa nafasi yao.
 
Kama ana/unafikiri ni sawa kutaja Majina ya watu ya halisia kwenye Mitandao sawa, kwa nini asiandike Jina lake kamili ili anawaotafuta wajue pia ni nani anawatafuta? Kwa nini afiche la kwake halafu ataje la wenzake? Huu ni Ubinafsi na Ungese mkubwa!
 
Kama anafikiri ni sawa, angeanza kuandika kwanza jina lake Kamili hapa ili awe na haki ya kutaja Majina ya wenzake!
 
ww umeona ulichokiandika hapo ndio busara uliyofundishwa na wazaz wako?? Ng'ombe ya mseven ww........... Unafikir atawapataje bila kuwataja majina

Huyu Jamaa ni mngese na Mbinafsi! Aanze kuandika la Kwake kwanza! Mazafaka
 
Kama ana/unafikiri ni sawa kutaja Majina ya watu ya halisia kwenye Mitandao sawa, kwa nini asiandike Jina lake kamili ili anawaotafuta wajue pia ni nani anawatafuta? Kwa nini afiche la kwake halafu ataje la wenzake? Huu ni Ubinafsi na Ungese mkubwa!

ww jamaa kweli ubongo wako ulifanyiwa bading na ule wa ng'ombe... Atawezaje kuandika ID zao wakat hajui hajafaham kama wanaigia au ni member wa jf?! Lengo la kuandika majina kamili iliyeyote anaye wafaham awafikishie taarifa........... Hivi unangapi kwenye chet chako cha kihtim sekondary??
 
Swala ni kwamba kama unaona ni sawa kuandika Majina halisia ya watu hapa, kwa nini yeye asiandike la kwake halisi kwanza?
Hilo si lingerahisisha kazi, kwani watu wanaowajua wangewafikishia ujumbe kwamba fulani anakutafuta...
Sasa yeye la kwake analificha ya wenzake anayataja kama sio ubinafsi ni nini?
Anajuaje kama hao watu wanapenda majina yao yaanikwe hapa JF?

Ni swala la Haki sawa kwa kila Mtu, kama unaona ni sawa kuandika Jina la Mtu mwingine JF basi pia na la kwako iwe sawa pia kuonekana na kujulikana na kila Mtu, kinyume cha Hapo ni Ubinafsi na Ungese uliopitiliza!
 
Mimi sioni kama kuna shida ya kutaja jina halisi la mtu kama unamtafuta. Anayetafutwa mwenyewe hajali kujulikana jina lake ndio maana amejitokeza humu humu kwenye uzi. Kama angejali angemfwata pm.
Unamtafutaje mtu bila kutaja jina lake?
 
Swala ni kwamba kama unaona ni sawa kuandika Majina halisia ya watu hapa, kwa nini yeye asiandike la kwake halisi kwanza?
Hilo si lingerahisisha kazi, kwani watu wanaowajua wangewafikishia ujumbe kwamba fulani anakutafuta...
Sasa yeye la kwake analificha ya wenzake anayataja kama sio ubinafsi ni nini?
Anajuaje kama hao watu wanapenda majina yao yaanikwe hapa JF?

Ni swala la Haki sawa kwa kila Mtu, kama unaona ni sawa kuandika Jina la Mtu mwingine JF basi pia na la kwako iwe sawa pia kuonekana na kujulikana na kila Mtu, kinyume cha Hapo ni Ubinafsi na Ungese uliopitiliza!

Mkuu kijakazi wa II pia kuwataja majina haina maana wapo JF, Lengo lilikuwa kufikkisha ujumbe kupiitia mwana JF yyt anayeweza kuwa anawafahamu.

Madhalani huyo alex mimi namfahamu vema sana, na baada ya kuona bandiko hilo niimpigia simu na kumsfiikishia ujumbe!

Sioni tatizo shida kubwa kijakazi wa II ume-interpret vibaya bandiko mkuu,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom