Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Mkuu kijakazi wa II pia kuwataja majina haina maana wapo JF, Lengo lilikuwa kufikkisha ujumbe kupiitia mwana JF yyt anayeweza kuwa anawafahamu.
Madhalani huyo alex mimi namfahamu vema sana, na baada ya kuona bandiko hilo niimpigia simu na kumsfiikishia ujumbe!
Sioni tatizo shida kubwa kijakazi wa II ume-interpret vibaya bandiko mkuu,
mkuu huyu jamaa mwache kama alivyo yeye binafsi ameshindwa kugundua kwann jamaa kataja majina hadharan. ,lakin kaz yeye kutoa povu na matusi. Kweli akili ni nywele
Last edited by a moderator: