jamani naumwa

jamani naumwa

Naumwa Sana ni typhoid sugu Baba V na wana cc wote naombeni dua zenu

Bwan'shee bole szana , bole !
Wee tapona veri fasti !
Hii mama ya boma ya watu8 nakupa advaisi nzuri sana! Afu iko taalamu nzuri szana! Bt iko tisha szana wewe!
Apana gopa ! We pona !
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Slave mie mwenyewe nina malaria hapa sijalala for 2 days mwili unachemka kama nipo kwenye moto
 
Pole sana mkuu Slave mie mwenyewe nina malaria hapa sijalala for 2 days mwili unachemka kama nipo kwenye moto
aisee pole pia cha msingi kacheki na typhoid dalili kama zinafanana sana.
 
Bwan'shee bole szana , bole !
Wee tapona veri fasti !
Hii mama ya boma ya watu8 nakupa advaisi nzuri sana! Afu iko taalamu nzuri szana! Bt iko tisha szana wewe!
Apana gopa ! We pona !
Judgement bwashee sante sana
 
Last edited by a moderator:
mammy umemshauri vizuri sana mgonjwa.

Slave pole sana, twakuombea upone haraka na natumai utakuwa umeonana na daktari, zingatia ushauri wake na umeze dawa kwa wakati.
jaman asante mweh !!@Lady doctor
 
Pole sana kaka. Get well soon.
Kama wifi hakuangalii uje ukae kwangu tukuuguze na shemejio na wapwa zako.
asante my sis King'asti ujue wapwa zangu nawamisi waambie nitapata nafuu as soon as possible
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu,fuata tu ushauri wa madokta
 
Pole sana mkuu Slave. Naamini Mungu atakupa uponyaji wake. Pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom