jamani naumwa

jamani naumwa

Pole sana Slave we wish you a quick recovery ila uache kunywa maji yasiyo salama na kingine hapa bongo typhoid inapimwa antibodies na mara Zote kila mtu hapa ameshapata exposure ya salmonella typhi na tuna antibodies hizo hospital za uchochoroni most of times wanawaambia watu they have typhoid kwa very small ratio ya titration..... Nijuavyo Mimi with my medical knowledge mgonjwa wa typhoid is very sick... Usingeweza hata kuandika huku jf... Dawa za typhoid ni dawa kali na if given frequently Kama chloramphenicol husababisha bone marrow aplasia yaani kufa kwa chembechembe za kutengeneza damu na huwa hazirudi na ndio mwanzo wa matatizo ya kuishiwa damu!! Pole sana twakuombea upone
 
Last edited by a moderator:

mammy umemshauri vizuri sana mgonjwa.

Slave pole sana, twakuombea upone haraka na natumai utakuwa umeonana na daktari, zingatia ushauri wake na umeze dawa kwa wakati.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana rafiki

NB;
Kuugua ni sehemu mojawapo ya Ibada.
 
Pole sana Slave...zingatia alichosema mkewe watu8, measkron (sijui ametokea huko?)...ila pia kwa typhoid ww zingatia maji salama kuanzia ya kuswakia hadi ya kunywa.....bhaas
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Slave...zingatia alichosema mkewe watu8, measkron (sijui ametokea huko?)...ila pia kwa typhoid ww zingatia maji salama kuanzia ya kuswakia hadi ya kunywa.....bhaas

Hahaha mpwa sisi ni familia ya kitabibu ila usiulize tumehitimu wapi we fuata ushauri tu...
 
Last edited by a moderator:
Kaka mkubwa upone haraka ni juzi tu hapa nilikuwa najiuliza mbona huyu raia kapotea sana...kumbe upo kitandani dah!!!

Mungu atakuponya mkuu!
 
Mkuu pole sana, hope umepewa dawa Stahiki, fuata maelekezo utapona.
Ushauri wa Measkron uzingatiwe pia! Get well soon aisee.
 
:shocked: :shocked: :shocked:
.jpg
.jpg
 
Jamani pole sana Slave

Utapona
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Slave we wish you a quick recovery ila uache kunywa maji yasiyo salama na kingine hapa bongo typhoid inapimwa antibodies na mara Zote kila mtu hapa ameshapata exposure ya salmonella typhi na tuna antibodies hizo hospital za uchochoroni most of times wanawaambia watu they have typhoid kwa very small ratio ya titration..... Nijuavyo Mimi with my medical knowledge mgonjwa wa typhoid is very sick... Usingeweza hata kuandika huku jf... Dawa za typhoid ni dawa kali na if given frequently Kama chloramphenicol husababisha bone marrow aplasia yaani kufa kwa chembechembe za kutengeneza damu na huwa hazirudi na ndio mwanzo wa matatizo ya kuishiwa damu!! Pole sana twakuombea upone
you are the doctor nashukuru kwa ushauri wako ki ukweli nahisi baada ya kuanza kutumia dawa kama ugonjwa umeongezeka inawezekana ni kutokana na ukali wa dawa.

asante
 
Pole sana Slave, usijali utapona soon
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom