Jamani nauliza hivi pale duce kuna hosteli?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
225
Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
 
ARUSO

Member
Jul 12, 2017
94
125

Kuna hosteli nyingi sana mitaa ya keko maduka mawili ,,keko machungwa, keko kitoroli,TTC kwa mama mshauri,Amani hostel,nk
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
5,704
2,000
Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
Ngoja wanakujaa
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,339
2,000
Zipo hostel kule ndani japo sidhani kama zinatosha wanafunzi wote, ila komaa huwenda ukapata nafasi.

Ukikosa kuna vyumba kila kona andaa fweza tu!.

NB: Karibu hapa Balax Bar
 
ARUSO

Member
Jul 12, 2017
94
125
Chonde chonde muelekeze Balax
Ukishuka hapo maduka mawili kuna bar kwa pembeni halafu unatembea hatua chache utakutana na hizo hostel ,,,
Humo full kudinyana
Mademu wapo wengi kuliko Me ,,,Me akihamia humo mademu wanafuraiaga kishenzi .

Kawaida sana hapo mida ya night kuona mademu wanaoga nje ya choo au kawaida sana demu kulala uchi bila kufunga pazia.
 
Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
274
500
Hostel zipo Ndio ila kwa boys ni chache Sana
Kama pia hautojali zipo mabibo na Mbagala ila inakubidi upande gar kila siku Kama ukiona huwezi vyumba vipo ving Huk keko vingi ni 50,000/=
Ila kuwa makini usijepelekwa bondeni ukaelea wakat wa mvua
Welcome Duce
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,037
2,000
Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?

Mtoto wa mkulima toka kijijini soma kwa umakini ushauri unaopewa hapa usipokuwa makini chuo kitakuwa semester moja tu halafu utarudi nyumbani!!!! LoL
 
Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,904
2,000
Je coict mkuu masuala ya hostel ni vipi????

CoICT....
Karibu sana CoICT bwana mdogo...
Cku hizi hostels zipo, ndani ya Campus kabisa zimekarabatiwa upyaa...
Sio kama zamani mnapiga route from Mabibo Hostel to Knyama....

Vipi umechaguliwa course gani,
Telecom, CEIT, Computer Science ama Electronics.

Mimi ni Assistant Lecturer hapa CoICT.
Principal wa College anaitwa Dr. Kissaka.
Nguli wengine ni Prof Luhanga, Dr. Naiman, Andegelile, Mwase na Mjuaji Moze...

Usipate shida... Ukifika utawajua wote hawa.
Nitafute ukifika Dogo....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom