Jamani,natafuta Nokia(X2)_nisaidieni mwenzenu

Jamani,natafuta Nokia(X2)_nisaidieni mwenzenu

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
753
Reaction score
659
Nimejaribu ku2ma post hii kwa mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada wenu,si lazima iwe mpya!
 
Upo mkoa gani? Mi ninayo ila nipo Mwanza, kama unahisi tunaweza kufanya biashara nichek kupitia 0752796133 ili tuelewane!
 
Nipo dsm nna X2-02 npe laki na 20 tu ina mwezi npo dsm 0766988326.
 
Nip dar just pm nauza ya kwangu ninayotumia kwa 90,000/= imetumika mwezi mmoja ni x-2-02.
 
Mie nina x2:00
ina mwezi tsh-150,000,
nipo nyakato,nyamagana ,mwanza.phone no,0765,919620.
 
Itafute hadi uipate mkuu, ni sim nzuri sana. Mi natumia X2-01, I real enjoy it, internet iko poa vby sana. Naipenda kushinda dem wangu..
 
Nimejaribu ku2ma post hii kwa mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada wenu,si lazima iwe mpya!

kaka saivi watu wako kwenye ulimwengu wa digitali , we ndo bado unatafuta analogue?
 
Nimejaribu ku2ma post hii kwa
mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini
nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada
wenu,si lazima iwe mpya!

mie ninayo nauza laki nanusu oila ni used
 
Upo wapi ninayo x2-01 kama una laki moja nikupe?nicheki kwa 0755065418,
 
Back
Top Bottom