mvumilivu sana
Member
- Jan 14, 2014
- 28
- 12
- Thread starter
- #41
Hahhhahhhahha na unavyopenda chapaa atajuta kuchart "pesa tu hapa sura wakawauzie wazazi wao,"
Chapaaa?
Hahhhahhhahha na unavyopenda chapaa atajuta kuchart "pesa tu hapa sura wakawauzie wazazi wao,"
Basi anza nae mi refaa
Kama we refa pendelea uone, utarudisha firimbi
haya namchuna lusungo naomba 10,000usd nataka niende nikafanye shoping, ninunue nguo pochi sina afu kucha zimebanduka nataka niweke mpya,... kope zimeisha gundi nataka kama zile za shoga yangu,,... alafu rafiki yangu anabirthday nataka nimnunulie bonge la zawadi.. nywele zimechoka nataka niweke nyingine
miss chagga wapi, wewe show youself plzndo hivyo anipe hela ya kwanza ndo tuchat
Hahahahahah stress si zinsletwaga na wale ndugu zakoo?
unataka kuchunwa aisee nipo hapamchunaji original
Mayoooo ng'wanike ebhe mbona umesahau na kausafiriii aaaaa
Mayoooo ng'wanike ebhe mbona umesahau na kausafiriii aaaaa
Mwingine fekiiiiizoo
Sasa refa mbona unanogewa na mechi yetu mmmmmh! we unatakiwa uwe mtu kati sasa mbona unaegea upande mmoja. Duuu yaani na usafiri tena anaweza achwa aisee
Naomba uorodheshe mahitaji yako yote kabisa maana naona unataja roborobo, tulia ufikirie vizuri, kwangu pesa sio shida sana.ooh bora umenikumbusha na mama anataka hela sijampa
Naomba uorodheshe mahitaji yako yote kabisa maana naona unataja roborobo, tulia ufikirie vizuri, kwangu pesa sio shida sana.
here okey am coming soonView attachment 147136[/QUOT
Jamani miss chagga utafanya niuze na kile kiwanja changu, yaani you are so mwaaaah.
Hayaaa bana naona lusungo kazidiwaa au? ?hata kuagaaa!!!
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni