miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Wow!! Raha niipatayo kama nimebalehe Leo vile
lakini usichafue boxer
Wow!! Raha niipatayo kama nimebalehe Leo vile
Subiri azaliwe kwanzaNiko tayari kwa kila kitu na tutawezana tu nitamtimizia kila atakacho just kusikilizana, kuhurumiana, kushauriana na kuthaminiana. Pesa kitu cha kawaida sana kwangu.
Basi anza nae mi refaa
Ote monowama nakundi wana wakati walandefeofo
lakini usichafue boxer
Yaani hii itakuwa mara yangu ya kwanza kushindwa, miss chagga nakutakia kila kheri ila kumbuka ukiwa na ATM ya Master card haimaanishi unahela maana akaunti yaweza kuwa Dormant
Utamu unakuja utamu unaondoka fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera sasa mtoto na mtu mzima chezea ndefu wewe. Mi yangu fupi utamu unakuja tuuu wala hauondokindo ufanye mapema uuze hicho kiwanja
Hahaha sichafui my queen kwakuwa upoo
okey that good