Jamani natafuta mwanamke wa kuchat naye

Jamani natafuta mwanamke wa kuchat naye

Mchunie hapa hapas akianzisha uzi wachawi watajaa halaf mwisho dau lipungur buree

haya namchuna lusungo naomba 10,000usd nataka niende nikafanye shoping, ninunue nguo pochi sina afu kucha zimebanduka nataka niweke mpya,... kope zimeisha gundi nataka kama zile za shoga yangu,,... alafu rafiki yangu anabirthday nataka nimnunulie bonge la zawadi.. nywele zimechoka nataka niweke nyingine
 
chagua mtoto yupi???
1800208_505965356180450_497107773_n.jpg
1513294_499234846853501_1776259872_a.jpg

Ashndwe yeye sasa watoto ndio hao apo uliokuwa unawataka teh teh teh
 
Back
Top Bottom