Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
u dont have a master card sitaki
Najua unanitaka mie
u dont have a master card sitaki
Najua unanitaka mie
Hata sipaon we ndio niambiee leo
u dont have a master card sitaki
Yaani hii itakuwa mara yangu ya kwanza kushindwa, miss chagga nakutakia kila kheri ila kumbuka ukiwa na ATM ya Master card haimaanishi unahela maana akaunti yaweza kuwa Dormant
My Lady hiyo Visa ni ya benki moja hivi mpaka sasa hawana Master Card, ninavwateja wengi sana wanatumia hiyo benki so lazima niwe na hiyo card
penda weee pia
masai dada umeona alivyo miss chagga?
Ngoja nitoke kazini nikitulia ntakwambia tukachafue wapi Leo maana siku nyingi ujue tangu chemistry!!! Mpaka leoo!!!!!
Network huku kwetu hamnaa heeee tukachafuee halaf unataka tuanzishiwe thread eee hahhhhahhha umemiss michambano eee
Dah nikifiriaga tulivyoharibu chemistry ya watu nacheka sana....
masai dada umeona alivyo miss chagga?