mvumilivu sana
Member
- Jan 14, 2014
- 28
- 12
- Thread starter
- #61
We mvumilivu sana utamuweza miss chaga? No money no honey hapo
Niko tayari kwa kila kitu na tutawezana tu nitamtimizia kila atakacho just kusikilizana, kuhurumiana, kushauriana na kuthaminiana. Pesa kitu cha kawaida sana kwangu.
Last edited by a moderator: