Jamani naombeni msaada wenu

Jamani naombeni msaada wenu

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
Jamani simu yangu nikifungua internet inastaki, nimeenda ofisi za voda wananiambia inabidi niiflash. Nimeenda kwa mafundi wa kuflash wananiambia gharama ni 50000/= ambayo ina karibia na niliyonunulia simu. Sasa naomba mnijulishe jinsi ya kuflash PC ninayo, internet masaa 24, cable zote zipo, sijui tu jinsi ya KUFLASH, MSAADA JAMANI.
 
Kwa maelezo yako hauna software ya kuflash na haujui jinsi ya kuflash,kama gharama ya kuflsh ni karibu na bei ya kununua mpya,kwa kutumia common sense ni bora ununue mpya ,unaweza fanya mwenyewe ukaimalizia kabisa simu yako ikafa.Maamuzi ni yako wewe mwenyewe sisi ni washauri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom