ndenga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 1,897
- 1,583
Habarini wana Ndugu, nimeanza ufugaji wa Batamzinga kama hobi lakini with time naona naanza kufikiria zaidi kibiashara. Lakini of recent bata wangu mmoja amepata huu ugonjwa wa uvimbe mdomoni nimejaribu kumpa dawa for the past three days ila naona hamna nafuu. Najua hapa tupo wajuzi wengi naomba kujua dawa ya haraka ya kuweza kumpa apone haraka.