Pope Francis Chuma
New Member
- Dec 24, 2018
- 2
- 1
Wanajamii Shkamooni wenzangu ...mambo vp Heri ya mwaka mpya Na kristmass .BWANA awe Nanyi ,Tumsifu Yesu kristo
Nimeona Leo Nije hapa kumwaga Jipu langu Nampenda Sana huyu Bint Long Time Ago Kabla hajaukwaa Ukuu ,Sipendi kusema hayo menginene Sijampendea status Yake nilimpenda tangu akiwa model ,msanii,mjasiriamali ,mdada wa nguvu Mara ya kwana kukuonabtulikuwa katika function flani hapo DSM na tulikaa meza moja ila hatukuzungumza Sana kwa kuwa tulikuwa hatufahamiani hilo ni kweli. Tangu siku hiyo Moyo wangu Ulijua Nakupenda ila kwa kuwa sikuwa na uwezo wa kukumiliki Nikasema wacha aende .Ameuteka moyo wangu JAMANI , nampenda Sana Sanaaa , BORA niseme Leo nitoe ya Moyoni Hata nikifa Ulimwengu ujue ,Nasema hivi mkimuona mwambieni nampenda ,Najua wamekuwa na wengi Lakini sijalishi amekuwa nao kwa ajili gani .Mimi nakuona Ni wife material kabisa Tupa mbali ukuu wake .Bado Ni mwanamke .tena Binti .wala sijampendea Hela zake .Nimependa kama yeye JINSI alivyo hivyo hivyo na Tabasamu Lake Uzi huu kama utamfikia yeyote aliye karibu naye Basi amfikishie Salamu zangu MJOMBA .Nampenda sana I wish Siku moja nimvishe Pete Nimuoe haraka iwezekanavyo . ila ule ukuta pale naeale walinzi na mbwa pale getini nitapitaje ??? Daaah Najuta kwa nn sikubonga nae kitambo alipokuwa anavinjari mitaa yake pale Kwao Au st.peters pale kanisani Nilihudhuria Sana ili niwe namuona na kumuangalia tu yeye aaah .Namoe da Kufa huyu dada mwambieni ajue. Ni mdada MZURI mwenye tajiriba nzuri na anafaa kuwa mke she very cute (inside) kwa sisi wenye Hicho la tatu tumeshaona mwaaah Mhe. Nampenda Sanaaa ila nawaza ntafikaje Kisarawe ???Safari Ni NDEFU na kwake Si kuna wale Askari wa magwanda ya khaki wamejaaa tele. nje??? Daaah nmpenda sa a MH.wa Kisarawe Tafadhali ukiona UJUMBE huuu Mimi kwako nimeoza najua wapo wengi wamekuja kwako na ahadi kemkem ila wewe tu ndio Moyo wangu .Mhe .Jokate
Sent using Jamii Forums mobile app