Jamani naitaji dume la german shepherd

hapa kunatatizo kubwa sana hawa watu wanachafuana.
Nimeconnect dots nikagundua nyie mnajuana aidha mlikuwa wapenzi na mmekorofishana.

watu wanatofautiana na kuachana bila kuchafuana na bila kuwapa wa2 wasousika taarifa huu ni utaira na lazima tuupige vita humu sio mahali pakuongelea mambo binafsi ya wa2
 
Mkuu kuna wanawake pasua kichwa. achana naye. wanajua kupepeta mdomo hao. mi nakuomba utulize hasira. vitabu vinasema tukae nao kwa akili.
Mkuu pale kurasini inabidi uwe makni unaweza kunyang'anywa dog kama ulimtoa kule. wale kikosi cha mbwa wanapoteza sana mbwa. be careful kama vpi nipm nikupe maujanja.
 
yani huyu ni zaidi ya pasua kichwa kweli usione w2 wamevaa vzuri ukafikiri ana akili timamu kumbe ni zaidi ya chizi mkuu.

poa mkuu nakupm unipe maujanja
 
hivi uckii nilichokwambia? au unataka nimwage mboga hapa mana naona tunatishiana nyau. Kwanini uckae kmya mpaka hyo cku ukweli utakapojulikana? Kelele za nini? tangaza biashara yako kama ulivyofanya.

MAISHA KUTAFUTA SIO KUTAFUTANA/KUCHAFUANA
Mwagaaaaa
 
Back
Top Bottom