ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,462
yuko bomba ladyfurahia, kwani nyani anazeeka maini?? Ha ha haaa! Uuuwi mume wangu watu8 usijali nlikuwa namtania tu huyu rafiki hapa
Kwani kumzimikia mtu lazima iwe kumtamani? Alikuwa handsome kweli baba wa watu, na maakili kibao. Mkikutwa hapa msinitaje, wakija ma miss-know-it-all.
tena ngoja nikukoti kabisa ili hata ukifuta ibaki...
huu unoko ndo umegraduate majuzi mbagala unii?
nyie mbona mnasigana hivyo kwanini jamani king'asti asante kwa kumzimikia baba wa taifa
heeeee! kwa hiyo huwaga mnaazimana hata vifaa vya jikoni nyie watu acheni tabia hiyo
Nimemleta kwenu Baba wa Taifa enzi za ujana wake na hata uzeeni pia naye hamumizimikii jamani wanajf
twangeni hapa kama mnamzimikia
huyu hapaView attachment 73804enzi za ujana wake
View attachment 73807 akizungumza kitu au jambo fulani hapo KWA MSISITIZO
na zingine nitawatumia bado sijapata katika chombo changu cha habari wanajf JE MMNAMZIMIKIA NAYE
haaaaaaaa Yesuuuuuuuuuuu wangu jamani! na kama sasa unaharisha inakuwaje huko chooni mana hizo foleni si utatoa hewani jamani uko inabidi muhame kabisa hakuwafai @ watu8
Nimemleta kwenu Baba wa Taifa enzi za ujana wake na hata uzeeni pia naye hamumizimikii jamani wanajf
twangeni hapa kama mnamzimikia
huyu hapaView attachment 73804enzi za ujana wake
View attachment 73807 akizungumza kitu au jambo fulani hapo KWA MSISITIZO
na zingine nitawatumia bado sijapata katika chombo changu cha habari wanajf JE MMNAMZIMIKIA NAYE
Kwani kumzimikia mtu
lazima iwe kumtamani? Alikuwa handsome kweli baba wa watu, na maakili
kibao. Mkikutwa hapa msinitaje, wakija ma miss-know-it-all.