Jamani na huyu naye hamumuzimikii?

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,455
Nimemleta kwenu Baba wa Taifa enzi za ujana wake na hata uzeeni pia naye hamumizimikii jamani wanajf
twangeni hapa kama mnamzimikia

huyu hapa nyerere1.jpeg enzi za ujana wake

nyerere 4.jpeg akizungumza kitu au jambo fulani hapo KWA MSISITIZO

na zingine nitawatumia bado sijapata katika chombo changu cha habari wanajf JE MMNAMZIMIKIA NAYE
 
Attachments

  • Mwalimu kambarage 2.jpg
    Mwalimu kambarage 2.jpg
    35.1 KB · Views: 37
  • nyerere 3.jpg
    nyerere 3.jpg
    1.9 KB · Views: 188
  • nyerere 5.jpeg
    nyerere 5.jpeg
    9.5 KB · Views: 38
yuko bomba ladyfurahia, kwani nyani anazeeka maini?? Ha ha haaa! Uuuwi mume wangu watu8 usijali nlikuwa namtania tu huyu rafiki hapa
 
Last edited by a moderator:
Kwani kumzimikia mtu lazima iwe kumtamani? Alikuwa handsome kweli baba wa watu, na maakili kibao. Mkikutwa hapa msinitaje, wakija ma miss-know-it-all.
 
tena ngoja nikukoti kabisa ili hata ukifuta ibaki...
 
nyie mbona mnasigana hivyo kwanini jamani king'asti asante kwa kumzimikia baba wa taifa
 
heeeee! kwa hiyo huwaga mnaazimana hata vifaa vya jikoni nyie watu acheni tabia hiyo
 
hii ndio laifu ya uswazi...tunapiga basi ndefu,choo pasipoti saizi.
huku usipoazimishwa ujue ukiishiwa unalo!!
 
Nimemleta kwenu Baba wa Taifa enzi za ujana wake na hata uzeeni pia naye hamumizimikii jamani wanajf
twangeni hapa kama mnamzimikia

huyu hapaView attachment 73804enzi za ujana wake

View attachment 73807 akizungumza kitu au jambo fulani hapo KWA MSISITIZO

na zingine nitawatumia bado sijapata katika chombo changu cha habari wanajf JE MMNAMZIMIKIA NAYE

We ladyfurahia wewe,huu sasa ni uchokozi na kutaka kutenganisha ndoa za watu.
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaa Yesuuuuuuuuuuu wangu jamani! na kama sasa unaharisha inakuwaje huko chooni mana hizo foleni si utatoa hewani jamani uko inabidi muhame kabisa hakuwafai @ watu8
 
"mtoto wa uswazi haugui", huo ndio msemo maarufu huku kwetu...wanaoharisha ni wa Masaki ndio maana wanatumia vyoo vya chemichemi...sisi huku ni mwendo wa kulenga tu.
tuhame twende wapi sasa?
 
Nimemleta kwenu Baba wa Taifa enzi za ujana wake na hata uzeeni pia naye hamumizimikii jamani wanajf
twangeni hapa kama mnamzimikia

huyu hapaView attachment 73804enzi za ujana wake

View attachment 73807 akizungumza kitu au jambo fulani hapo KWA MSISITIZO

na zingine nitawatumia bado sijapata katika chombo changu cha habari wanajf JE MMNAMZIMIKIA NAYE

ladyfurahia,jamaa alikuwa handsome,hadi Idd Amin alimuandikia telegraph ya kumzimikia!
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaa Yesuuuuuuuuuuu wangu jamani! na kama sasa unaharisha inakuwaje huko chooni mana hizo foleni si utatoa hewani jamani uko inabidi muhame kabisa hakuwafai @ watu8
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom