Jana katika matembezi yangu nikiwa kwenye daladala nikitokea makumbusho kuelekea magomeni,nilipo fika maeneo ya komakoma-mwananyamala walitokea vibaka na kuchukua cm yangu niliyokua nikitumia kupitia dirishani na kutokomea nayo.nilipiga kelele bila mafanikio.
simu yangu ilikuwa ni sumsung window smartphone ambayo ilikuwa ikinisaidia sana kwenye mambo mengi ya internet hivyo kukaa bila simu yenye inernet najihisi kama sijakamilika,NINAOMBENI MNISAIDIE KATIKA MAWAZO JE NI SIMU GANI NYINGINE NAWEZA KUNUNUA NZURI NA YENYE KUSUPPORT INTERNET VIZURI YENYE GHARAMA ISIYOZIDI LAKI NNE TU. msaada tafadhali.AHSANTENI