jamani mwenzenu nimefiwa

jamani mwenzenu nimefiwa

Pole sana, mungu akupe wepesi katka kipindi hiki kigumu kwako. Hakika kila nafsi itaonja umauti.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Poleni sana kwa msiba. Mungu awajalie moyo wa imani na subira.
 
Back
Top Bottom