pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu!
Pole sana ndugu.
Pole kwa msiba.
Mwenyezi Mungu awtie nguvu wakati huu wa majonzi
Pole sana mkuu.
R.I.P bibi.
pole sana
Pole sana
We loved her but God loved her most!
RIP bibi!
Pole ndugu.
Msibani ni wapi, kama mchana kutapikwa ni-PM location ili niokoe siku...
Bibi wetu apumzike kwa Amani yake Bwana!!