Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli

Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli

Jana nilimfata nje ya mji mara napiga simu hapatikani. Nikaenda mpaka kwao kuingia tu nikakuta wenyewe wapo. Ikabidi nijifanye nilikuwa nafanya mishe zangu nikapita kusalimia
 
ha ha ha ha ungeomba hata maji ya kunywa
 
Back
Top Bottom