Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,385
- Thread starter
- #21
ha ha ha kwa nini mkuuShenz kabisa
ha ha ha kwa nini mkuuShenz kabisa
ha ha ha kwa nini mkuu
Kweli mkuu,ngoja nitafute single M tuWanaharibu sana Target
vipi mkuu?Duh.....
Pole mkuu.Nipo hapa mji wa jirani nimeamua kuja kubadilisha hali ya hewa,nikasema nitafute mtoto mzuri wa kuniweka bize kidogo ili niweze kupunguza msongo wa mawazo wa kidunia.Mtoto akaomba nimtumie garama za kumleta.......nimemtumia, tangu asubuhi mpaka sasa hivi...nipo tu mwenyewe sijielewi.Nikipiga simu,haipatikani.....hapa nilipo moyo uko tayari kuachana na mwili.Jamani muwe mnatoa ahadi za kweli.
Mkuu we acha tu,hapa nilipo nashindwa nifanye niniPole mkuu.
Kua mvumilivu atakuja tu labda chaji imekata.
Duh!Hahahaaaa pole aisee
Fanya kumrushia muamala
Mwambie nyingine azifate ulipo
ha ha ha nimeipenda sana hii,thanxpole mkuu, next time try and use your wisdom, these creatures nowdays have became vampires, they think men are no diffrent from the world bank, they think we have no other use of money other than spending on them,
ha ha ha sawa mkuuSiku nyingine mwambie chukua uber nitalipa huku. Acha kupigwa kizembe
ha ha ha ha haAsilimia kubwa sana ya wanaume tunabeti. Hapa mkuu alibeti kabisa
Sawa mkuuHao kawaida yao dawa ni kugoma kutuma tu.
Kashachukuliwa na mjanja mwenzakoNilishawahi kutoka naye huko nyuma
Ndio majibu yao hao wathengeKuna Mmoja nilimuambia tuma namba ya Luku nikununulie umeme. Alinisonyaaaaaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Akaniita Dume Suruali